Apartment nzuri ya kisasa na ipo jirani na barabara inapangishwa bei ni 550,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala #sebule kubwa
dodoma kwa mwatano kabla hujafika chuo cha mipango maji yapo yakutosha, umeme upo, parking ipo kubwa , chumba ni ndani ya fensi
Nyumba nzuri mpya yakumalizia ujenzi inauzwa Mahali:- nala chinangali(nala ya kwanza) Nyumba iko umbali wa 1.5km kutoka barabara ya lami Bei 30,000,000/=
NYUMBA INAUZWA ILEMELA -ina vyumba vitano vya kulala ( self 1 ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja SQM 500 -ina hati miliki
Dodoma kwa mwatano center chumba na choo ndani (master) **ndani ya fensi parking ipo** **Maji na umeme upo**
Nyumba Ni Mpya Vyumba Vitatu Viwili Master Full Air conditions
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA -ina vyumba vitatu (3) vya kulala ( self 1 ), Sebule, Dinning, Jiko Na Public Toilet -ina heater, water reserve tank, car parking
Good house for living
NYUMBA YA KISASA INAUZWA KISASA -ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni masterbed room, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 2,000
Basics features :sitting :Dinning :Kitchen :Garden :Paved parking area :Stand alone House
Nyumba ipo Sinoni Ina vyumba kumi Ipo karibu na Barabara Nyumba ipo Sinoni Bei 20mill Call/Sms{phone=0685150105}
Apartment with appliances for rent block one three bedroom ((one master bedroom)) sitting dinning kitchen ac heater swimming pool price 200k per day block two
Apartment Contains One Self Bedroom, Kitchen,Public And Sitting Room Independent Luku Duwasa Water 24hrs
Nyumba ipo Nyamongoro upande wa uwanja wa nane nane nyumba zinazo onekana ng'ambo ya uwanja, Vyumba jumla 4 vyote ni self
Nyumba ni nzuri iko Mwanza nyamhongolo mkabala/ inatazamana na viwanja vya nane nane, ina vyumba vinne vyote serf, Dinning, kichen, store, na nyumba ya chumba
Milioni 35 chap Eneo 16 * 18 Sqm 256 Iko Nyashishi Mwanza Inahitajika hela ya haraka Call/whatsp{phone=0677193432}
NYUMBA INAUZWA IYUMBU -vyumba vitatu vya kulala ( self 1 ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja 40x20 = SQM 800 -ina hati miliki
For more information or viewing call me now
Basics features :sitiing :Dinning :Kitchen :Master bedroom :Stand alone House
Nyumba mbili zinauzwa zipo iyumbu karibu na shule ya Mfano,Dodoma Uwanja una sqm 800 Ipo na hati safi Karibu sana