No service fees it’s
Room ya kupanga inapatikana kwa matias mita 200 kutoka barabara ya morogoro road
#stand_alone/nyumba inayojitegemea yenyewe kwenye fence inapangishwa kiluvya madukani ... ... #vyumba_vitatu_vya_kulala #sebule_kubwa #kimojawapo_master #jiko zuri lenye sink na makabati #dinning ...
Nyumba inapangishwa ipo kihonda yespa nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store na public toilet nyumba ipo ndani ya fensi nyumba ipo jirani na kituo cha daladala
Nyumba ipo kihonda idiva nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, jiko, store na public toilet kodi kwa mwezi ni laki tatu tu(300, 000) simu;
Nyumba inapangishwa ipo tubuyu ina vyumba viwili vya kula na sebule, jiko na public toilet nyumba ipo tubuyu
3 Bed room Dinning area kitchen self store laundry room public toilet prepaid meter rent per month: 2, 000, 000/=
Nyumba inapangishwa ipo kihonda kilimanjaro morogoro nyumba ipo peke yake ndani ya fensi, nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store na public toilet. ipo sehemu ...
Nyumba inapangishwa ipo tubuyu morogoro nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko , store na public toilet nyumba ipo ndani ya fensi nyumba ina huduma ya maji masaa 24 ...
Nyumba inapangishwa ipo nanenane kwa defao morogoro mjini nyumba ipo eneo nzuri na ipo sehemu inayofikika kiurahisi nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store na ...
Nyumba inapangishwa nanenane morogoro mjini nyumba inapangishwa ipo eneo la nanenane. nyumba ni mpya haijawai kukaliwa na mtu. nyumba ipo mita chache kutoka barabara ya lami. nyumba ipo sehemu yenye ...
Nyumba inapangishwa nanenane morogoro mjini. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store na public toilet. nyumba ipo ndani ya fence na ipo mita mia kutoka barabara ...