Apartment nzuri mpya ya kisasa inapangishwa 250,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba master kikubwa #sebule kubwa #jiko kubwa #public toilet #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea ...
Apartment mpya kabisaaaa location kimara baruti dk 7 toka morogoro road bei ni 300x6 sifa zake _________________ vyumba 2 kimoja master sebule kubwa sana ...
Nyumba ipo Mbezi mwisho umbali wa kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya kuelekea morogoro
Nyumba hii ipo Mita 300 kutokea barabara kuu ya lami ya kuelekea morogoro. Nyumba nzuri na inafaa kwa biashara na makazi na kiwanja chake kikubwa sana, pia kwenye raman kina barabara mbili
Nyumba inapangishwa mbezi luguruni laki 8 ■■vyumba vitatu vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa na seble pia dining ■■stand alone ■■dakika 5 kutosha lami morogoro ...
Apartment nzuri na ipo jirani na barabara inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba kizuri #sebule nzuri #choo kizuri cha ndani (public toilet) hakuna jiko #kibalaza kikubwa #luku ...
Apartment nzuri inapangishwa na itakua wazi kuanzia tarehe 15/02/2024 kuona ndani ruksa kabisa endapo mpangaji atakuwepo bei ni 250,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vikubwa sana ...
Nyumba inauzwa... Location kibaha kwa mathiasi 3minutes 2main Road... Nyumba ina bedroom 6 na zoote zmejaa wapangaji... Public toilets zipo4... mbele kuna eneo kubwa la kujenga appartment pia gari ...
No service fees it’s
*ENEO LINA KIJUMBA CHA ROOM 4 LINAUZWA NA BANK* Lipo dakawa Morogoro Bei tsh milion 12 Ukubwa eneo- square Mita 490 Umiliki- mkataba wa Mauziano serikali ya mtaa Nyumba ina vyumba vi5 vimepangishwa ...
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank morogoro kihonda kiengea "a" mawasiliano{phone=0718802350} ina vyumba vinne (4) kimoja master,sitting&public toilet umiliki: leseni ya makazi (residential licence) ...
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank morogoro mlimani mkundi mawasiliano{phone=0625589225}/ ina vyumba vitatu kimoja master,dinning,sitting, kitchen&public toilet umiliki: mauziano ya serikali ya mtaa ...
Nyumba iko kwenye mtaa mzuri inauzwa kwa mnada kwa niaba ya benki kihonda nguvukazi morogoro municipality details + location: kihonda nguvukazi, morogoro municipality + mark: serekali ya mtaa ...
Nyumba inauzwa .kibaha kwa mathias. Milioni 20. Vyumba vitatu Kiwanja ukubwa mita 25 kwa 25 Km 2 kutoka morogoro road
Anyumba inauzwa ipo ubungo makoka, umbali wa km 2 toka morogoro road au unaweza kupitia kimara korogwe njia ya zege bei tsh milion 60 maongezi yapo ukubwa wa eneo sqm 400 vyumba 3 vya kulala chumba ...
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank morogoro nane nane ukubwa wa eneo sqmt 400 umbali mita 700 kutoka morogoro road bei 16 milioni
Nyumba inauzwa tzs 220 milioni iko mkabala na st. anne academy mbezi kwa msuguri kilometa moja kutoka barabara ya morogoro. ina vyumba 3 na fremu 3 za biashara ina eneo kubwa mno la ujenzi wa nyumba ...
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank morogoro nane nane tungi umiliki: hati miliki (title deed) block d ukubwa wa eneo: sqm 400 mark : mnada wa ng'ombe nane nane/ mashirika ya dini umbali: meter 700 ...
Nyumba inauzwa kwa niaba ya bank mlandizi ( kibaha municipality) ina vyumba vitatu, sebule, valanda na choo umiliki: mauziano ya serikali ya mtaa (sales agreement) ukubwa wa eneo: sqm 1,750 umbali: ...
Nyumba nzuri iko mtaa mzuri inauzwa kwa mnada kwa niaba ya benki details + location: mlimani area, kata ya mkundi, morogoro municipality + eneo: sqm 600 + mark: mkundi stendi/tairi mbili/kwa mkanada ...