Ni nyumba ya kisasa kwa matumizi ya makazi au utalii. Iko Km 7 kutoka uwanja wa ndege sawa na dakika 10 kufika uwanja wa ndege.