Nyumba inauzwa tsh 350 maongezi milion imeshuka bei tena ipo - bunju b block - 20 ____ ukubwa kiwanja - sqm 1565 __ umiliki - hati kutoka wizara ya ardhi ___ matumizi - makazi idadi ya vyumba - sita ...
*haya sasa sandakalawe tena... nyumba bei ya kutupa* room 3 moja self sebule dinning jiko na public toilet eneo-sqm 500 umiliki-mauziano serikali za mtaa bei-ml 38 location- kibamba hondogo dar ...
Ni nyumba ya zamani ila ina huduma za kisasa zaidi Imejengwa kwa mtililiko ufuatao ; ina vyumba 3 Komojawapo master Sebure kubwa Daining kubwa jiko kubwa na stoo kubwa pia ina public toilet Maji yapo ...
Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi msumi Nyumba ni ya vyumba V3 sebule daining jiko stoo public chumba Master Eneo sqm 500 Bei ni mil 40 Mwenyewe anashida sana tena sana Nyumba ipo msumi mwisho jilani ...
Nyumba Inauzwa Dar es salaam. Hii nyumba ni kama Inatupwa.Narudia tena.hii nyumba iatakua yako. Nyumba ipo mbagala chamazi Temeke jijini Dar es salaam. Nyumba ina vyumba vi wilili.Ila komoja katika ...