Nyumba ya ghorofa inauzwa pugu road chanika taliani kituo (ilala ) 1. nyumba inaumbali wa mita mia 400 kutokea barabara kuu ya lami 2. nyumba ina vyumba 4 vya
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala sebule dining jiko master pablic inapangishwa laki Moja na nusu Ukonga kitunda matembele, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa
Hii nyumba ni kama inatupwa wadau.Ni nyumba ya vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko. Nyumba ipo mbagala chamazi kwa ma sister wilaya ya Temeke
Nyumba inauzwa na bank bogolwa, kibamba manispaa ya mkuranga mkoa wa pwani loc :bogolwa, kibamba area, mkuranga area : ~ sqm 300 umiliki :mkataba wa mauziano
Jamani mambo yasiwe mengi nyumba imeshuka bei sana mwenyewe maji ya shingo kutoka milioni 35 hadi ml 30 mwenyewe anashida sana jiokotee sasa nyumba beikitonga
#???????? ???? ???? ???? for ???????? apartments full furnished ▃ date listed: 11 / 07 / 2023 asking price: $ 2000 terms of payment: miezi 6 direction:
Nyumba inauzwa nyumba ipo mbagalla chamanzi nyumba ni ya vyumba v3 sebule daining jiko stoo public chumba master eneo sqm 400 bei mil 38 nyumba ina maji na
Pagale linauzwa mbezi mpiji magohe daraja la jeshi karibu ma shule ya msingi lumumba loc :mpiji magohe daraja la jeshi area : ~ sqm 400 price : mil 20 umiliki
Nyumba hiyo inapangishwa laki mbili kwa mwezi, ina vyumba vitatu sebule jiko master pablic stoo jipsam tails ndani ya fensi. Nb ina eneo kubwa ndani ya fensi
Nyumba hiyo inauzwa kwa bei nafuu sana, ipo mjini mtaa mzuri. Nyumba ina vyumba vitano na sebule, umeme upo, eneo mita 15 kwa mita 20 Sqmita 300.
Eneo hili linauzwa kwa bei nafuu kwani lipo mjini Viwege kwa Mpemba, ni sehemu ya kifanyia biashara ya aina mbalimbali.
Nyumba hiyo ina chumba, sebule, jiko, choo cha public, umeme na maji. Barabara ipo ya mita nne hadi barabara kuu.
Nyumba hiyo inauzwa kwa bei ya kutupwa, milioni tisa na nusu, ina vyumba vitatu na sebule pamoja na choo cha public na kisima cha maji kipo.
Nyumba hiyo ina vyumba sita vyote vimejaa wapangaji, kodi kwa mwezi mmoja kila chumba ni Huduma zote za kijamii zipo karibu. nyumba inauzwa kwa bei nafuu sana.
Ma boss zangu nyumba hii inauzwa tabata kinyerezi songasi. bei: milion 35 location: tabata kinyerezi mwisho songasi umbali dakika 10 kutoka main road ukubwa wa
Nyumba hii ni mpya ya ramani, ipo Ukonga Majohe kwa Ngozoma, huduma zote za kijamii zipo karibu.
Nyumba hiyo ipo Majohe kwa Ngozoma, ina vyumba vya kulala vitatu, sebule, jiko, masta, pablick na maji, barabara hadi mlangoni.
Eneo la biashara ndani yake kuna nyumba ya vyumba 10 inauzwa mbagala rangi tatu. panafaa kwa godwon ma frem ni nyumba ya pili toka lami ya rangi tatu stand loc
Location: Dar es Salaam, Temeke, Mbagala Price: 240,000,000 TSh Description Eneo la biashara ndani yake kuna nyumba ya vyumba 10 inauzwa mbagala rangi tatu.
Nyumba hii naweza sema inatupwa. Nyumba ipo mbagala mbande wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu,na nje chumba ki moja.Jumla vyumba