1 km from Morogoro road, near Furaha bar, accessible from 2 directions, one from Tip Top and another Manzese shopping center. Suitable for building hotel or
Ghoropha inauzwa mbezi luis mshikamano ●ina hati ●ina vyumba vitatu chini vitatu juu ●eneo sqm 1200 ●kilometres 2 kutoka lami morogoro Road ●eneo
Nyumba inauzwa na bank kimara stop over ina vyumba vitatu kimoja master,dinning,sitting,kitchen&public toilet umiliki: hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
For sale: Nyumba nzuri 3bedroom house at Kibamba CCM njia panda ya Mloganzila: Price:Tsh. 75M. Nyumba nzuri ya kisasa,Ina vyumba V3 vya kulala, sebule na jiko,
Nyumba ipo kibaha kongowe km 1 toka morogoro road vyumba viwili ,kimoja master milioni 23
Nyumba ipo kibamba gogoni vyumba vitatu ,kimoja master km moja toka morogoro road milioni 40
Pagale linauzwa kimara golani,,lina vyumba vitatu vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa eneo la kiwanja ni kubwa , liko barabara ya mtaa
Nyumba inauzwa kibaha pwani visiga-madafu mawasiliano ina vyumba viwil kimoja master,sitting,kitchen&public toilet umiliki: hati ya mauziano ya serikali ya
Kimara, 5 Bdrm House/Ghorofa Inauzwa - Dar . • Mahali: Bonyokwa, kilomita 1 kutoka Morogoro Road (Kimara Mwisho) • Hali ya nyumba: Mpya. Iko kwenye
Nyumba inauzwa ,kibaha kwa mfipa,umbali mita 900 kutoka morogoro road.haifiki km 1. Ina vyumba 4,vyumba vyote ni masterbedrooms,(kila chumba kina choo chake na
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni nyumba inatizamana na barabara ya morogoro rod nyumba ina vyumba sita vitatu master viwili vya kawaida public toilet full
Nyumba inauzwa ipo kiluvya kwa komba,km 1.5 kutoka morogoro road. bei milion 68 vyumba vinne viwili master public toilet,jiko kubwa,dinning,sebule
Nyumba inauzwa na bank mlimani city survey, ni mita 120 toka barabara ya survey to udsm. panafaa sana kwa hostel, makazi, office na hata kupangisha. eneo ni
Well developed area,njia nzuri, surveyed area,karibu na barabara kuu
Ipo morogoro mikese mizani karibu na kituo cha police ipo umbali wa mita mita60 tu kutoka morogoro road . nyumba ni mpya inajitegemea umeme na maji hadi ndani
Nyumba inatizama barabara ya morogoro rd ina gorofa ya vyumba viwili chini ina vyumba vinne frem 3
Eneo zuri,kiwanja kimepimwa,kuna majirani,karibu na barabara kuu ya Dodoma/Morogoro,9 kilometers kutoka Morogoro Mjini na msamvu standi,700 SQM
Nyumba ya Kisasa Inauzwa milioni 120 maongezi yapo Ipo Mbezi mwisho centar Opozite na magufuli bus terminal (A)- Dar es salaam - Tanzania Vyumba Vitatu vya
Wazee dada nimemshusha leta mteja,sasa anataka 52,maongezi kiduchu. ina vyumba vitatu,kimoja master,piblic toilets,jiko,sebule kubwa,dinning. hipo gogoni.
Nyumba inauzwa! ipo kibaha miembe saba ina vyumba vitatu kimojawapo ni master viwili vimeezekwa tayari shimo la choo lipo tayari ukubwa wa eneo ni square mitre