Wazee dada nimemshusha leta mteja,sasa anataka 52,maongezi kiduchu. ina vyumba vitatu,kimoja master,piblic toilets,jiko,sebule kubwa,dinning. hipo gogoni.
*Nyumba inauzwa Kiluvya Gogoni* -Nyumba iko mita 100 kutoka lami inatazama Barabara. -Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, kimoja ni master bedroom, jiko, sebule.