#apartment #mpyaaa #mpyaaa inapangishwa #mbezi_mwisho_chuo_cha_st.joseph km 1 tokea main road au boda 1000 __ vyumba 2 vya kulala, kimoja master sebule jiko
Apartment ina chumba kimoja cha kulala na choo chake mwenyewe ila cha pembeni sio master. Kipo floor ya 4 kutoka chini
Apartment nzuri kubwa ya kisasa inapangishwa itakua wazi kuanzia tarehe 25/09/2023 apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba kikubwa kizuri #sebule kubwa #jiko
#For Rent at MBEZI kwa ROBERT via Goba Road ★120K ×6 _______ ____ Chumba master kizuri Jiko Kubwa na Zuri LUKU yako Maji yapo Pia una Reserve Tank lako Ndan
Chumba, sebule na choo cha nnje ila chakwako mwenyewe. Nyumba ipo ndani ya fence na ina parking, umeme watu 3. Unaweza kupitia external au riverside au korogwe
Apartment for rent Location:- Magomeni Mapipa Terms of payment six months Features Three bedrooms One bedroom is self contaoned (Chumba kimoja master) Sitting
#CHUMBA_MASTER JIKO , Inapangishwa price Tsh laki mbili na hamsini (250k pey month payment six months, And one month to agent service survey charge 20k, luku
Apartment ina chumba, sebule ndogo, jiko na choo ndani (master). Ipo floor ya 6 ila kuna lift na inajitegemea luku yake yenyewe pamoja na mita ya maji, pia
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, dinning, jiko na public toilet ndani. Inajitegemea luku yake yenyewe pamoja na mita ya maji. Haina
Ni apartment nzuri sana ya kupanga . ipo ubungo riva side . umbali wa dk 8 tu kwa miguu kutoka menrod ubungo riva side . sifa zake = vyumba viwili vya kulala
Nyumba nzuri kubwa na ni ya kisasa inapangishwa location: kimara mwisho kodi 100,000x6 ni chumba master sebule na jiko zuri na public toilet ya nnje ina tails
Ni chumba master sebule jiko luku wawili maji yanaflow ndani fensi safi ila hailazi gari ziko kimara baruti dk 4 toka morogoro road bei ni Tshs 250x6
Apartment ina chumba, sebule na choo ndani. Ipo ndani ya fence ambayo haiingizi gari ila ipo mtaa mzuri na usalama wa kutosha na ni dakika 8 kwa miguu kutoka
Apartment ina chumba na choo chake ndani yaani master ila kwenye balcony kuna sink la kuoshea vyombo vile vile balcony hio unaweza kutumia kupikia chakula,
Apartment ina chumba chenye tiles, gypsum na aluminum windows ila choo chake ni cha nnje wanashea watu 3 tu pia umeme wake ni wa 3 na kuna sub-meter. Chumba
#apartment kubwa ya #kifamilia inapangishwa #mpyaaa #mpyaaa #mpyaaa #kimara_suka dk 10 tokea main road kwa kutembea __ vyumba 3 vya kulala, 2 hapa vinachoo
Apartment ina vyumba 2 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko la kisasa na public toilet ndani. Inajitegemea luku yake yenyewe hivyo unatumia kutokana na
#apartment kubwa ya #kifamilia #mpyaaa #mpyaaa #mpyaaa inapangishwa #kimara_temboni dk 4 kwa kutembea kwa miguu tokea main road. __ vyumba 3 vya kulala, 2 hapa
Iko Sinza madukani. Ni chumba chenye choo ndani, sebule, jiko la nje, ndani ya gate ila parking hakuna.
Apartment_for_rent_mbezi_kibanda_cha_mkaa . . #chumba master kikubwa sana #umeme luku yako #maji yanaflow ndani #maji mita yako #ndani ya fensi ila parking