Nyumba ya biashara inauzwa,mlandizi,kwa ajili ya wapangaji ina vyumba 8 milioni 25 ukubwa kiwanja mita 30 kwa 20 km moja toka morogoro road.
Nyumba ipo morogoro mjini vyumba vitano, kimoja master. ukubwa kiwanja squire meter 400 milioni 50
Nyumba ya vyumba 3 haijakamilika, Ipo Morogoro mjini mkundi utumishi houseing, kiwanja miguu 30 kwa 20... eneo zuri, umeme upo karibu full documents shimo la
This house is divided into two, one part is Two Bedroom Hall, a master room self-contained with a bathroom, a living room, a guest bathroom and kitchen, a door
Nyumba ipo Kibamba Shule ina Vyumba 3 vikubwa kimoja ni Master,Pablic Toilet,Sitting Room,Dinning,Jiko,Store, Ukubwa wa eneo ni 20*18 Umeme na maji vyote vipo
Nyumba inauzwa mlandizi Milioni 7 Ina chumba na sebule. Ukubwa kiwanja square meter 350,unaweza kuongeza nyumba nyingine,nafasi ipo Km 2 kutoka morogoro road
Nyumba mbili zinauzwa milioni 200 maongezi yapo zipo mbezi mwisho sant Joseph ruguruni - kila nyumba Inavyumba vitatu master bedroom sitting room kitchen store
1 km from Morogoro road, near Furaha bar, accessible from 2 directions, one from Tip Top and another Manzese shopping center. Suitable for building hotel or
Ghoropha inauzwa mbezi luis mshikamano ●ina hati ●ina vyumba vitatu chini vitatu juu ●eneo sqm 1200 ●kilometres 2 kutoka lami morogoro Road ●eneo
Nyumba inauzwa na bank kimara stop over ina vyumba vitatu kimoja master,dinning,sitting,kitchen&public toilet umiliki: hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
For sale: Nyumba nzuri 3bedroom house at Kibamba CCM njia panda ya Mloganzila: Price:Tsh. 75M. Nyumba nzuri ya kisasa,Ina vyumba V3 vya kulala, sebule na jiko,
Nyumba ipo kibaha kongowe km 1 toka morogoro road vyumba viwili ,kimoja master milioni 23
Nyumba ipo kibamba gogoni vyumba vitatu ,kimoja master km moja toka morogoro road milioni 40
Pagale linauzwa kimara golani,,lina vyumba vitatu vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa eneo la kiwanja ni kubwa , liko barabara ya mtaa
Nyumba inauzwa kibaha pwani visiga-madafu mawasiliano ina vyumba viwil kimoja master,sitting,kitchen&public toilet umiliki: hati ya mauziano ya serikali ya
Kimara, 5 Bdrm House/Ghorofa Inauzwa - Dar . • Mahali: Bonyokwa, kilomita 1 kutoka Morogoro Road (Kimara Mwisho) • Hali ya nyumba: Mpya. Iko kwenye
Nyumba inauzwa ,kibaha kwa mfipa,umbali mita 900 kutoka morogoro road.haifiki km 1. Ina vyumba 4,vyumba vyote ni masterbedrooms,(kila chumba kina choo chake na
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni nyumba inatizamana na barabara ya morogoro rod nyumba ina vyumba sita vitatu master viwili vya kawaida public toilet full
Nyumba inauzwa ipo kiluvya kwa komba,km 1.5 kutoka morogoro road. bei milion 68 vyumba vinne viwili master public toilet,jiko kubwa,dinning,sebule
Nyumba inauzwa na bank mlimani city survey, ni mita 120 toka barabara ya survey to udsm. panafaa sana kwa hostel, makazi, office na hata kupangisha. eneo ni