Apartment nzuri ya kisasa na ipo jirani na barabara inapangishwa bei ni 550,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala #sebule kubwa
Nyumba nzuri yenye vyumba 4 vyote vikiwa master rooms inauzwa mbagala chamazi kwa mkongo . Nyumba ni mpya yenye viwango vyote vya ubora
Nyumba ya vyumba 3 sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi, yenye eneo sqmita 900 na kisima Cha maji Cha kichimba na mashine mita 85 na tenki la
House for sale 4 bedroom 2 servant cortar 2 bedroom 2 bedroom swimming nyumba ipo inagusa bahari kabisa Bei dollar 1,500,000 Umiliki hati miliki mkononi
Nyumba inauzwa ipo cnza mugabe Inatizama lami ya kwenda stendi mawasiliano inabedroom4 seble jiko pric milioni 300 View cost 30k inaeneo nje la kujenga frem
*Nyumba inauzwa Mbweni Mpiji* *Distance* Mita 800 kutoka Barabara ya lami -Nyumba ia vyumba 3 vya kulala, master bedroom 1, sitting room, dinning room, kitchen
Nyumba inauzwa dar es salam Temboni kimara 150,000,000/=
Nyumba nzuri Sana ya ramani, ina vyumba 4 vya kulala sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi inauzwa milioni 220 ipo Ukonga Gongolamboto, ipo
Nyumba inapangishwa oysterbay Ina chumba na sebule pamoja na jiko bei 700k kwa mwezi
Nyumba nzuri mpya yakumalizia ujenzi inauzwa Mahali:- nala chinangali(nala ya kwanza) Nyumba iko umbali wa 1.5km kutoka barabara ya lami Bei 30,000,000/=
Nyumba nzuri kubwa ya familia inauzwa na ipo sehemu nzuri sana nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa
Nyumba kal INAUNZWA”” Ina vyumba vitatu Ukubwa wa kiwanja Ni sguare mitter 800”” Offer milion 220 maongez”” Location TEGETA WAZO @
Nyumba ipo Sile Kigamboni inauzwa. Ipo umbali wa km 7 kutoka barabara kuu ya kuelekea fery na barabara ya kuelekea dsm zoo almost 0.5km. Nyumba ipo mahali
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, dining, jiko na public toilet ndani. Pia nyuma ina servant quarter ambayo haijaisha ujenzi wake wa
Tshs mil 800,#nyumba_inauzwa#iko-dar-es-salaam tz mahali- bunju a shule _____________________ ukubwa wa eneo lake sqm 2500 __________________ nyaraka za
Hapa kuna nyumba 2 ndani ya compound 1 hivyo nyumba kubwa ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master sebule, dining, jiko na public toilet ndani. Hii ya ghorofa
NYUMBA INAUZWA: Location madale Vyumba 3,/ master 1 Sitting room, dining, kitchen, store and public toilet, BEI: Million 150. Nyumba ya kisasa nzuri sana
NYUMBA INAUZWA ILEMELA -ina vyumba vitano vya kulala ( self 1 ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja SQM 500 -ina hati miliki
Nyumba inauzwa: Ina room 3 moja self Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco Pia Kuna boykota ya chumba na sebule na chumba singo na public
Nyumba ya vyumba 3 sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi inauzwa milioni 50, ipo Ukonga Moshibar jirani na stendi ya daladala, huduma zote za