Apartment ya chumba kimoja master sebule kubwa jiko luku yake maji yanaflow ndani fensi na parking ni kubwa zipo ubungo kibo dk 10 toka morogoro road bei ni 250x3 caution money mwezi mmoja
Jengo la nyumba linauzwa Tsh mil 38.5 kibambwa kibwegere Dsm umbali kutoka main road ya morogoro ni km 2.5 ukubwa wa kiwanja 20 kwa 20 eneo limepimwa na linatambulika kisheria na lipo kwenye hatua ya ...
Ni nyumba ya zamani ila ina huduma za kisasa zaidi Imejengwa kwa mtililiko ufuatao ; ina vyumba 3 Komojawapo master Sebure kubwa Daining kubwa jiko kubwa na stoo kubwa pia ina public toilet Maji yapo ...
Nyumba inauzwa ipo mbezi kwa msuguli, umbali wa kilometa 1.7 toka morogoro road bei tsh milion 60 maongezi yapo ukubwa wa eneo sqm 35x35 umiliki:mauziano ya s/mtaa vyumba vitatu vya kulala chumba ...
Nyumba kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi yaani stand alone inapangishwa nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa sana #dining #jiko ...
Nyumba kubwa na nzuri inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa 200k x 4 nyumba hii inasifa zifuatazo #chumba kikubwa #sebule kubwa #jiko kubwa sana #choo kizuri cha ndani kwa ndani (public ...
Nyumba inauzwa kwa mnada wa benki loc> kimara stop over mita chache kutoka barabara kuu ya morogoro ukubwa> 480sqm price> 15mil umiliki> sales agreement service charge 30000 contact call sms ...
Ni nyumba nzuri Ina maji ya kawaida na maji ya kisima Umeme upo Ipo ndani ya fensi Uwani kuna mabanda ya kufugia na mbele kuna Flemu kubwa tatu ( 3 ) na chumba kingine cha uwani nyumba ina tailiz ...
Nyumba inauzwa kimara suka! ina vyumba vinne vya kulala viwili master ina sebule kubwa sana jiko na dining ukubwa wa kiwanja ni square mitre 400 bei inauzwa maongezi yapo kidogo sana umbali wa kutoka ...
Ipo pembebi ya morogoro road. Kibaha kwa mathias Milioni 45 Vyumba 4 Panafaa kuongeza fremu za biashara
Nyumba ipo manzese chama karibu na maduka ya jumla na tawi la ccm km 25 kutoka morogoro road karibu na pembeni ya kabisa la Catholic church
- *NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KWA MNADA KWA NIABA YA BANK*. - *LOC*; Upendo area,Kimara Temboni, Ubungo municipality. - *AREA*:~sqm 400 - *Mark* ; Temboni Garden/Mwika annex hall & recreational. - ...
Nyumba inauzwa mji mpya karibu na kwa Uswaa.
Apartment ya Chumba Kimoja Master, Sebule, Jiko & Public toilet. Inajitegemea Umeme & Maji, Ipo ndani ya fence Compound ya Apartment 3 tu. Na hii moja Ndo iko Wazi. Ipo Kimara Temboni Upande wa ...
Nyumba inauzwa kimara suka! ina vyumba vinne vya kulala viwili master ina sebule kubwa sana jiko na dining ukubwa wa kiwanja ni square mitre 400 bei inauzwa milioni 55 maongezi yapo kidogo sana ...
Nyumba inauzwa kimara suka! ina vyumba vinne vya kulala viwili master ina sebule kubwa sana jiko na dining ukubwa wa kiwanja ni square mitre 400 bei inauzwa milioni 55 maongezi yapo kidogo sana ...
Anyumba ya ghorofa inauzwa ipo kiluvya-kibamba dar es salaam ipo umbali wa mita 800 kutokq morogoro road bei tsh milion 270 ukubwa wa eneo sqm 650 umiliki:clean tittle deed gharama ya kupelekwa site ...
Nyumba inauzwa na bank vigwaza, mkoa wa pwani. iko mita 700 toka morogoro road loc :vigwaza mkoa wa pwani area : ~ sqm 400 price : milioni 12 umiliki :mkataba wa serikali ya mtaa ...
Apartment nzuri ya kisasa na ipo mazingira mazuri sana inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala #hakuna master #sebule #jiko kubwa #public toilet #zipo apartment 2 tuu ...
Nyumba iko barabarani na nje kina frame 3 inauzwa na bank kimara temboni mtaa wa upendo. ni kilomota 1 toka morogoro road loc : kimara temboni area : ~ sqm 1200 price : mil 59 umiliki :mkataba wa ...