-appartment kalii mbezi magufuli kodi:350,000 ipwe miezi 6 net appartment mpyaaa kaliii kalibu na stand ya mabus kabisa location:mbezi mwisho miter800 from
Apartment i̇napangi̇shwa #ki̇mara_temboni̇ dk 10 kwa mi̇guu au boda __ vyumba 2 vya kulala vikubwa, kimoja master sebule kubwa luku yako maji mnashea bili
Apartment ya #ki̇fami̇li̇a i̇napangi̇shwa #ki̇mara_temboni̇ km 1.5 au boda mpaka hapo. __ vyumba 3 vya kulala, kimoja master jiko sebule choo cha
Hizi apartment zipo tatu kwenye compaund moja kati izo moja ya chini iko wazi kubwa sana inafaa kwa familia kubwa #sebule kubwa sana #vyumba 3 vya kulala
Nyumba inauzwa Inavyumba 6 kisima Cha maji ukubwa wa eneo ekali Moja nauli ya boda buku Hadi kituo Cha daladala umbali kwenda beach km 1
Apartments za #ki̇fami̇li̇a #mpyaaa #mpyaaa zi̇napangi̇shwa #mbezi̇_mwi̇sho_luguruni̇ km 2 au boda __ vyumba 2 vya kulala na vyooye vinachoo ndani
Nyumba ina pangishwa ina jitegemea yenyewe mwenyewe fence stend alone ipo kimara suka dk13 kwa miguu kutoka lami boda boda buku... ina kuwa wazi tar 1.1.2023
KAZI hiyo mpya mpya mpya Ni apartment ya chumba sebule choo na na jiko IPO kimara temboni upande wa kulia ukitokea kimara umbali wa kilomita moja na nusu IPO
#apartment ya #kibachela inapangishwa #mbezi_kwa_msuguri km 2.3 au bajaji au boda __ #note: itakuwa wazi mwisho wa mwezi huu wa 12 __ sebule chumba chako ndani
#pagale_linauzwa_mbezi_kwa_msuguri . . . pagale lina nyumba mbili ambazo ni apartment ya vyumba viwili viwili kila mojamoja . . . bei ni milioni 28 tu
#apartment_for_rent_mbezi_mwisho_njia_goba ... vyumba viwili vya kulala sebule jiko nzuri lenye makabati chumba kimoja master choo cha familia ndani umeme luku
#new_apartment_for_rent_at_mbezi_kibamda_cha_mkaa . . . vyumba viwili vya kulala sebule jiko nzuri kimojawapo master choo cha familia kipo njee umeme upo maji
#standalone kubwa ya #kifamilia inapangishwa #mbezi_mwisho_luguruni km 1.8 au boda __ vyumba 3 vya kulala, 2 hapa ni master jiko sebule kubwa mnoo choo cha
Apartment mpya kabisa zina pangishwa zipo kimara stop over km1.3 kutoka lami boda buku ... ... ... chumba master badroom seble kubwa jiko kubwa la kisasa tiles
Nyumba hii inauzwa location kimara mwisho upande wa kushoto kama unaelekea mbezi umbali wa km.1 kutembea kwa miguu mpaka kituo cha mwendo kasi ni dk 15 usafiri
#vyumba_viwili inapangishwa iko-dar-es-salaam tz mahali. _masana kituo kwa olomi nyumba ipo tatedo nyumba kali umbali km 1.30 boda boda afu moja. kuona nyumba
#apartment_for_rent_mbezi_kibanda_cha_mkaa ... ... ... vyumba viwili vya kulala sebule jiko nzuri vyumba vyote ni master choo cha familia njee umeme luku yako
Appartment mpyaaa kalii mnoo #chumba #seble #toilet as public ndani #umeme wako #maji dawasco ndani share #fenced #parking ni ndogo labda boda location: mbezi
Nyumba kali sana ya family ina pangishwa kimara korogwe sifa za nyumba vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule choo cha family kikubwa cha ndani ipo
Usikose hii stend alone nzuri yenye mazingira mazuri sana nyumba ipo kimara suka ipo pekeake kwenye fensi ya waya kodi 200,000x6 ina vyumba vitatu vya kulala